Alhamisi, 10 Aprili 2014

Kaa Tayari kupokea kitabu,Ambayo inatarajiwa kuingia sokoni mda wowote Kitabu Itwayo STORY NZITO.


Story inazungumzia historia ya Mwanafunzi Mmoja wa Chuo Ambae Alikuwa Katika Mahusiano Na Wapenzi Wengi Chuoni Na Wa Mtaani.


Kwa Mhukhtasari Ni Kwamba ``Oluya Ni Mwanafunzi Wa Rorya University College Ambae Alianza Mahusiano Akiwa Darasa la Tano,Ktka Shule Ya Msingi Nyamombo Primary School Wilayani Humo.Kwa kipindi Hicho Oluya .............Endelea kuperuz Kurasa zetu kila kukicha kujua mapya yaliyomo